Skip to main content
Skip to main content

Hofu ya wananchi Laikipia yazua uhamaji baada ya shambulizi na wizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    2,593 views
    Duration: 2:49
    Hali ya taharuki bado imetanda kaunti ya Laikipia baada ya mamia ya wakazi wa baadhi ya vijiji kutoroka kwao kwa hofu baada ya shambulizi la hivi majuzi kusababisha kujeruhiwa kwa watu wawili. Uvamizi huo pia ukisababisha wizi wa zaidi ya mifugo elfu moja. Hofu hii sasa ikisababisha mamia ya wakazi kuhama makao yao katia vijiji vya Naibung’a Upper, Salamba na Seek