- 10,552 viewsDuration: 2:34Familia moja mtaa wa Mlolongo kaunti ya Machakos inaomboleza vifo vya watoto watatu wanaodaiwa kuuawa na mama mzazi aliyewapa sumu kwenye chakula kabla ya kutoweka. Mshukiwa Linet Munala aliyekamatwa baadaye anadaiwa kuwaua wanawe watatu mapema juma hili kufuatia mzozo wa kinyumbani kati yake na mumewe.