Skip to main content
Skip to main content

Wanamazingira na jamii kaunti ya Taita Taveta kushirikiana kukabili visa vya moto

  • | Citizen TV
    309 views
    Duration: 1:40
    Moto wa mara kwa mara katika mbuga ya kitaifa ya tsavo na hifadhi za kijamii kaunti ya Taita Taveta imesababisha wanamazingira na maafisa wa serikali za kaunti kutoa wito kwa jamii kushirikiana ili kukabiliana na visa hivyo. Aidha serikali ya kaunti imetengeneza sera maalum ya kukabiliana na moto. Wakizungumza mjini Voi washikadau mbalimbali wa kukabiliana na moto wakiwemo maafisa wa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori KWS na wale wa misitu wanalenga kutengeneza sera ambaYo wadau wote watashirikiana kukabili suala hilo.