Skip to main content
Skip to main content

Huduma mashinani Nandi

  • | Citizen TV
    329 views
    Duration: 2:43
    Serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nandi imezindua rasmi mpango wa Huduma Mashinani katika maeneo yaliyoko mbali na miji ili kuwaletea wakazi wa vijijini huduma muhimu karibu na makazi yao. Kamishna wa Kaunti ya Nandi, Wilberforce Kilonzo, na maafisa wengine walitembelea maeneo yenye changamoto za miundombinu ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bila kusumbuka.