Skip to main content
Skip to main content

Kisunzi cha gredi 10

  • | Citizen TV
    281 views
    Duration: 2:41
    Wazazi kutoka eneo bunge la Nyando wameraiwa kuwapeleka wana wao shuleni huku serikali ikitoa ahadi ya kuimarisha mazingira ya shuleni. Akizungumza katika hafla ya kugawa chakula kwa shule mbali mbali, waziri wa masuala ya jinsia Hannah Cheptumo amesema kuwa serikali imewekeza katika kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anashugulikiwa vilivyo. Haya yanajiri huku machifu wakiendelea kutafuta wanafunzi wanaojiunga na gredi ya kumi.