- 160 viewsDuration: 1:21Rais william ruto ametoa fedha za mtaji wa biashara kwa vijana kutoka eneo pana la nyanza huko kisii. Rais amewaonya dhidi ya kutumia vibaya pesa hizo na kuwataka kuwekeza na kuweka akiba. Vijana hao wanapewa ufadhili wa shilingi 25,000 za mtaji kila mmoja