Skip to main content
Skip to main content

Soko la Ng'ombe Garissa kuboreshwa kuwa la kisasa

  • | Citizen TV
    2,265 views
    Duration: 2:45
    Idara ya mifugo imepokea maoni kutoka kwa wafugaji eneo la Garissa kuhusu ujenzi wa soko mpya ya kisasa kwa lengo la kuimarisha soko hilo ili kufikia kiwango cha kikanda. Wafugaji hao wametlalamikia ukosefu wa baadhi ya miundumsingi muhimu ilhali soko hilo linahudumia eneo nzima la Kaskazini Mashariki na nchi jirani ya Somalia kwa kuuza zaidi ya ngombe laki sita kila mwaka.Ujenzi wa soko hilo unatarajiwa kuanza katika miezi miwili ijayo.