Skip to main content
Skip to main content

Kevin Maseri aliyepigwa risasi na polisi Kitengela afariki kutokana na majeraha

  • | Citizen TV
    9,540 views
    Duration: 3:55
    Mmoja wa vijana wawili waliopigwa risasi katika eneo moja la burudani, Kitengela ameaga dunia. Kevin Maseri, alifariki mapema leo akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi alikohamishwa kutoka hospitali ya rufaa ya Kajiado. Haya yamejiri huku polisi Kajiado wakithibitisha kupokea bunduki tatu kutoka kwa washukiwa na tayari watu 10 wameandikisha taarifa