29 Jan 2026 7:48 pm | Citizen TV 2,717 views Duration: 2:15 Familia moja kutoka kijiji cha Suguta, Mugirango West katika kaunti ya Nyamira wanamtafuta mwanawao aliyepotea kutoka shule ya msingi ya kutwa ya Etono SDA. Mwanafunzi huyu anadaiwa kupotea kutoka shuleni humo.