- 376 viewsDuration: 2:36Serikali sasa inasema iko tayari kupokea mapendekezo bora zaidi ya ununuzi wa hisa za kampuni ya safaricom ambayo imependekezwa kuuzwa kwa kampuni ya mawasiliano ya vodacom ya Afrika kusini. Akizungumza Naivasha, katibu wa hazina ya kitaifa Dkt. Chris Kiptoo amesema serikali ilipata mnunuzi bora zaidi na kuwa mlipa ushuru hajapoteza fedha zozote