Skip to main content
Skip to main content

Gharama ya juu ya karo na sare yazuia mpito wa sekondari, wazazi wasema

  • | Citizen TV
    299 views
    Duration: 2:48
    Nchini wametaja gharama ya juu ya karo na sare kuwa kizingiti kikuu cha mpito wa sekondari ya juu. Wazazi wengi pia wanasema mfumo wa elimu wa cbe haujaboreshwa ubora wake au kuleta mabadiliko yoyote. Utafiti wa kampuni ya infotrak ukionyesha mapungufu haya yameendelea kuzuia kufikiwa kwa mpito wa asilimia mia moja