Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awataka vijana kujitolea kufaidi miradi ya ajira ya serikali

  • | Citizen TV
    1,330 views
    Duration: 3:24
    Rais William Ruto amewarai vijana wote nchini kujitolea kufaidi miradi ya serikali inayopa nafasi za ajira ili kujiimarisha kimapato. Rais ambaye alifanya mkutano na vijana kutoka kaunti ya Kisii, Migori na Nyamira katika uwanja wa Gusii alizundua awamu nyingine ya Mradi wa NYOTA uliowanufaisha zaidi ya vijana elfu nane. Viongozi wa Gusii wanaoegemea Serikali wakitumia fursa hiyo kutoa ahadi ya kufanya kazi na serikali ya Rais Ruto