Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani waandamana Nairobi wakilalamikia mashambulizi kwenye mikutano

  • | Citizen TV
    12,419 views
    Duration: 2:33
    Muungano wa upinzani ukiongozwa na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka na DCP Rigathi Gachagua wanaandamana hadi katika afisi za inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kuwasilisha malalamishi yao kuhusu madai ya wahuni kukodishwa kuvuruga mikutano yao na umma. Wanamtaka Kanja kuwajibika na kuwachukulia hatua baadhi ya maafisa wa polisi wanaodaiwa kupanga vurugu hizo.