Skip to main content
Skip to main content

Familia yapokea madaftari ya ukumbusho wa hayati Raila Odinga

  • | Citizen TV
    2,934 views
    Duration: 50s
    Katibu katika wizara ya mambo ya nchi za kigeni Dr. Kipkorir Sing'oei, amekabidhi familia ya hayati Raila Odinga mamia ya vitabu vya maombolezo kutoka ofisi za kenya zilizoko nchi za nje. Dr. Sing'oei amesema kuwa idadi ya vitabu hivyo vinaonyesha umaarufu wa marehemu Raila Odinga.