30 Jan 2026 1:29 pm | Citizen TV 354 views Duration: 54s Kaunti ya Kisii yazindua ujenzi wa kiwanda cha maziwa kinacholenga kusambaza maziwa kwa shule za chekechea ECDE na kulenga faida ya ongezeko la thamani kwa wakulima wanaofuga ng'ombe.