30 Jan 2026 1:31 pm | Citizen TV 437 views Duration: 1:43 Serikali ya Kaunti ya Nairobi imezindua mfumo wa kidijitali wa LiquorPay, unaolenga kubadilisha utoaji wa leseni za pombe kwa kupunguza urasimu, kuondoa karatasi na kutoa huduma za haraka na zenye uwazi zaidi.