- 394 viewsDuration: 2:31Familia ya jamaa aliyepigwa risasi kufuatia vurugu katika klabu moja mtaani Kitengela imesema hatamzika hadi waliomuua wakamatwe na kushtakiwa. Haya ni huku ripoti ya upasuaji wa mwili wa marehemu, Kevin Maseri, ukubaini kuwa alipigwa risasi mbili zilizosababisha kifo chake