Skip to main content
Skip to main content

Ukame watesa Marsabit, wakazi wakabiliwa na uhaba wa maji

  • | Citizen TV
    630 views
    Duration: 3:09
    Wakenya milioni 2.2 wanapokumbwa na baa la njaa kufuatia hali ya ukame,huko upande wa kaskazini mwa nchi, Wafugaji wamelazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka bidhaa hiyo adimu na kuchimba visima vidogo kando ya kingo za mito iliyokauka ili kutafuta maji