Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la kutoa vitambulisho mashinani vyaanza kaunti 10 kuleta usawa

  • | Citizen TV
    345 views
    Duration: 2:50
    Maelfu ya wakazi wa Kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet ambao wamekosa vitambulisho vya kitaifa kwa muda mrefu sasa wanaweza kupata stakabadhi hiyo baada ya Uzinduzi wa zoezi la Usajili mashinani, ambao umeanza rasmi hii leo.