Skip to main content
Skip to main content

Matabibu Nakuru, Nandi na Garissa warejea kazini baada ya kutia saini mkataba

  • | Citizen TV
    318 views
    Duration: 1:46
    Baraza la magavana na Maafisa tabibu wametia saini mkataba wa maelewano isiku moja baada ya kukubali kurejea kazini. Kaunti za Nakuru, Nandi na Garissa zimeafikiana kusitisha mgomo na kutia saini maafikiano ya kurejea kazini mara moja. mkataba huo unalenga kusitisha migomo ya mara kwa mara ya matabibu katika kaunti mbalimbali.