Skip to main content
Skip to main content

Police FC sasa pointi 11 nyuma ya Gor Mahia baada ya sare 1-1 dhidi ya Bidco

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 1:04
    Mabingwa watetezi Police fc sasa wako pointi 11 nyuma ya viongozi Gor Mahia fc baada ya sare ya kukatisha tamaa ya 1-1 dhidi ya Bidco united katika mechi ya pekee ya ligi iliyochezwa Jumatatu alasiri. Polisi wamekusanya pointi saba pekee kati ya 18 zinazowezekana kutoka kwa mechi sita za mwaka wa 2026.