Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Mombasa imeagiza kukamatwa kwa Joginder Singh Danjal

  • | Citizen TV
    5,193 views
    Duration: 1:36
    Mahakama ya Mombasa imeagiza kukamatwa kwa mfanyabiashara Joginder Singh Danjal kwa kukosa kutii agizo la kufika mahakamani. Akiotoa uamuzi huo hakimu mkaazi mwandamizi David Odhiambo ametaka mshukiwa huyo kukamatwa ili kusomewa mashtaka katika kesi ya urathi wa mali ya kima cha shilingi milioni 400. Mshukiwa huyo anadaiwa kuuza ardhi huku wakili wa mfanyabiashara huyo akijiondoa.