- 1,788 viewsDuration: 3:05Raia wawili wa uturuki wamefikishwa katika mahakama ya mombasa na kushtakiwa kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la ugaidi. Osman elsek ambaye ni mfanyabiashara huko Kilifi anatuhumiwa kuwa mwanachama wa kundi la Alshaabab. Huku mwenzake Gokmen Sandikci akijipata taabani baada ya kupatikana akiwa na mshukiwa kwanza ambaye alikuwa na bunduki.