- 556 viewsDuration: 4:04Muungano wa wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini umeiomba wizara ya elimu kufutilia mbali agizo linaositisha utoaji wa stashahada za elimu ya chekechea pekee. Agizo lililotolewa na katibu wa elimu ya msingi profesa julius bitok linajumuishamafunzo ya ecde na yake ya shule za msingi, hatua iliyozua wasiwasi miongoni mwa walimu na serikali za kaunti. Wizara ya elimu, hata hivyo, inasema inatekeleza mapendekezo ya jopokazi la rais kuhusu elimu, ambalo lilifuta diploma za chekechea mwaka 2023