Skip to main content
Skip to main content

Wahida Sudi apanda hadi kuwa mpishi mkuu Coast General baada ya miaka 20 akijikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    1,023 views
    Duration: 7:13
    Kwa zaidi ya miaka ishirini, amekuwa mwenyeji katika hospital ya Coast General, shughuli zake zikijikita katika jiko la hospitali hiyo. Japo hakupangia kufanya kazi ya upishi, ari ya kujikimu kimaisha ilimsukuma katika ulingo ambao hakutegemea utakuwa taaluma yake. Namzungumzia Wahida Sudi ambaye bidii yake imempandisha hadi kuwa mpishi mkuu katika hospitali ya Makadara, kazi ambayo anasema anaiheshimu na kuienzi kila uchao. Inayofuata ni simulizi yake kwa kina katika makala yetu ya Mwanamke Bomba