- 105 viewsDuration: 1:13Nairobi united hawana wakati wa kupumzika wanapojiandaa kumenyana na APS Bomet kwenye mechi ya ligi kuu ya Kenya, siku mbili baada ya kuwasili kutoka tanzania ambapo walipoteza 1-0 dhidi ya azam fc katika mechi ya kombe la mashirikisho la CAF