Skip to main content
Skip to main content

IEBC yatoa ratiba ya uchaguzi na kuahidi mtandao wa matokeo kuwa tayari Oktoba

  • | Citizen TV
    1,223 views
    Duration: 2:52
    Tume ya uchaguzi nchini IEBC sasa imeweka wazi ratiba na mipango yake kuanzia sasa hadi wakati wa uchaguzi mkuu. IEBC imesema kuwa iko mbioni kuhakikisha kuwa teknolojia ya kusimamia uchaguzi iko tayari mwaka huu ili kuhakikisha kuwa mtandao wa kupeperushia matokeo ya uchaguzi unafanya kazi kuanzia oktoba mwaka huu.