Skip to main content
Skip to main content

Wakenya watoa maoni mchanganyiko kuhusu uuzaji wa hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    332 views
    Duration: 3:11
    Hisia mseto zimeibuliwa kwenye vikao vya maoni ya wananchi kuhusu uuzaji wa hisa za safaricom kwa kampuni ya vodacom huku baadhi wakiunga mkono mchakato huo na wengine wakielezea wasiwasi kuhusu uwazi na uwajibikaji. Wananchi katika kaunti za nakuru na nyeri wametaka pesa zitakazopatikana kutumiwa kufanikisha maendeleo, wengine wakitaka hisa ziuziwe wakenya