Skip to main content
Skip to main content

Familia Nairobi inamsaka Desmond Odhiambo aliyetoweka tangu Januari 23 Mombasa

  • | Citizen TV
    1,435 views
    Duration: 2:32
    Familia moja kutoka Nairobi inamsaka jamaa yao aliyetoweka tarehe 23 Januari Mombasa. Kwa siku 10 sasa, familia ya Desmond Barrack Odhiambo imekuwa ikihangaika kutoka vituo vya polisi hadi kambi za chifu wakitafuta usaidizi wa kumpata jamaa huyo.