Skip to main content
Skip to main content

Magavana wa Kwale na Nyeri wachunguzwa kuhusu gharama ya nyumba rasmi na hatimiliki za ardhi

  • | Citizen TV
    904 views
    Duration: 1:57
    Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani alikabiliwa na maswali chungu nzima kuhusu gharama ya juu ya ujenzi wa nyumba rasmi ya gavana huko kwale. Naye mwenzake wa Nyeri mutahi kahiga pia alibanwa kuhusu ukosefu wa hatimiliki ya ardhi ambayo nyumba ya gavana wa nyeri imejengwa. Wanachama wa kamati ya seneti ya uhasibu, wamewataka magavana kutumia fedha za umma kwa mujibu wa sheria