Skip to main content
Skip to main content

Je nyama ya nguruwe ni nyekundu ama nyeupe?

  • | BBC Swahili
    12,427 views
    Duration: 2:06
    Baada ya Shirika la Afya Duniani, WHO, kuainisha nyama nyekundu na iliyosindikwa kuwa inaweza kusababisha saratani, swali moja limekuwa likiulizwa sana, Je nyama ya nguruwe ni nyekundu ama nyeupe? Yule yule @elizabethkazibure anakufafanulia zaidi #bbcswahili #afya #kitimoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw