20 Aug 2025 1:08 pm | Citizen TV 187 views Duration: 1:38 Zaidi ya familia 300 zinazoishi kwenye mtaa wa mabanda wa Witemere Nyeri mjini, zinaishi na hofu ya kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha.