Skip to main content
Skip to main content

Jua kupika maharage

  • | BBC Swahili
    11,397 views
    Duration: 1:00
    🌞 Umewahi kufikiria kupika chakula chako kwa kutumia jua tu, bila jiko la umeme au gesi, huku ukisaidia kutunza mazingira! Wanawake wa jamii ya Zapotec katika jimbo la Oaxaca, kusini mwa Mexico, wamekuwa wakitumia suluhisho bunifu la kupika kwa jua badala ya kuni au gesi. Maharage, yanayochukua muda mrefu kupikwa, sasa yanaweza kupikwa kwa jiko la jua bila gharama yoyote! 🍲 @mariammjahid anatuelezea Je, ungejaribu jiko la namna hii nyumbani? Tuandikie maoni yako! - - #bbcswahili #mazingira #ubunifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw