Skip to main content
Skip to main content

Gachagua asema wabunge wa Mlima Kenya wanaomtema ni majasusi wa UDA

  • | Citizen TV
    25,578 views
    Duration: 2:56
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amewapuuzilia mbali viongozi wanaoendelea kujitenga naye, akisema wanaoondoka walikuwa majasusi wa rais William Ruto chamani mwake. Takriban wabunge 10 kutoka mlima kenya wamemtema Gachagua wakidai kuchezewa shere katika jitihada zao za kupata tikiti ya kugombea mwaka ujao.