Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Embobut Elgeyo Marakwet watia saini mkatabawa vita dhidi ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    126 views
    Duration: 1:45
    Wakazi wa Embobut kaunti ya Elgeyo Marakwet wametia saini mkataba wa makubaliano ya kukomesha ukeketaji katika eneo hilo. Kwenye hafla iliyofanyika mjini Iten, wakazi hao wamesema kuwa licha ya wengi wao kukeketwa,hawajaona faida yoyote.