- 711 viewsDuration: 1:29Huku Uchaguzi mdogo wa tarehe 26 mwezi huu ukikaribia, msaidizi wa rais Farouk Kibet , mbunge wa Malava David Ndakwa pamoja na wawakilishi wengine wa wadi wanaongoza kampeni ya kumpigia debe mgombea wa UDA wa kiti cha MCA cha West Kabras Elphas Shalakha.