- 153 viewsDuration: 1:50Serikali inalenga kuanzisha mradi wa shilingi milioni 200 wa kuboresha na kurejesha hali ya sehemu chepechepe zilizoharibiwa katika kaunti 12 ili kuhifadhi mazingira. Mradi huo utakaotekelezwa na mamlaka ya mazingira nchini (NEMA) na idara ya misitu (KFS) utashirikisha miungano ya jamii ya misitu (CFA) na unatarajiwa kuanza mwezi julai mwaka huu.