Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda wapinga ushuru wa pikipiki Busia

  • | Citizen TV
    380 views
    Duration: 2:02
    Wahudumu wa bodaboda zaidi ya 20,000 katika kaunti ya Busia wamepinga vikali pendekezo la serikali ya kaunti hiyo la kuwataka kulipa ushuru kama wafanyabiashara wengine, wakidai kupuuzwa na serikali hiyo licha ya ahadi nyingi walizopewa na gavana Paul Otuoma miaka mitatu iliopita. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Boniface Okumu, wahudumu hao wanadai kuwa wanaendesha shughuli zao kwenye mazingira duni ikiwemo barabara mbovu, ukosefu wa taa za barabarani, ukosefu wa vituo vya bodaboda, ukosefu wa usalama mbali na kukosa fedha za ruzuku za kuwawezesha kujikimu kimaisha.