Aziza Swaleh: 'Mimi ilinichukua muda kuwazoea wanyama hawa'

  • | BBC Swahili
    837 views
    Wengi wa watu hasa wanawake huhofia nyoka ila Aziza Swaleh ni mwanadada kutoka Kaunti ya Kwale nchini Kenya rafiki yake mkubwa miongoni mwa wote ni Nyoka Aziza pia ni mama ambaye anafanyakazi ambazo haziko maarufu sana miongoni mwa wanawake , yeye ana toa huduma kwa wanyama kama nyoka , mamba ,kobe na hata bundi ni miongoni mwa wanyama ambao wamewafuga yeye na mumewe katika bustani liitwayo Jungle Snake . Alizungumza na Anne Ngugi akiwa bustani hilo huko Msambweni Kwale. #bbcswahili #wanyama #kenya