Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kirinyaga na Kericho watoa wasiwasi juu ya uuzaji wa 15% ya hisa za Safaricom kwa Vodacom

  • | Citizen TV
    363 views
    Duration: 3:32
    Wakazi wa kaunti ya KIRINYAGA na Kericho hii leo wametoa hisia zao kuhusu mpango wa serikali wa kuuza asilimia 15 ya hisa ya kampuni ya Safaricom kwa kampuni ya Vodacom. Katika vikao hivyo, wenyeji walitoa tahadhari kwamba serikali isitimue mbinu fiche kuwahadaa wakenya na kufanya ufisadi katika uuzaji wa hisa hizo.