- 2,228 viewsDuration: 3:32Rais William Ruto amewasuta wapinzani wake wa kisiasa wanaodai anatoa ahadi za uongo na kusema miradi inayotekelezwa na serikali inaonekana. Akizungumza mjini malindi alikotoa zaidi ya shilingi milioni 126 kwa vijana chini ya mradi wa nyota, rais alisisitiza mradi wa nyota ni suluhisho kwa tatizo la ukosefu wa ajira nchini