Skip to main content
Skip to main content

Wafuasi wa Padre Daniel Mureithi washerehekea maisha yake ya huduma kwa Mungu

  • | Citizen TV
    2,829 views
    Duration: 3:08
    Familia na marafiki wa marehemu Padre Daniel Raphael Mureithi walikusanyika kwa Misa ya wafu katika Kanisa Katoliki la Ridgeways kusherehekea maisha ya mtu ambaye wengi wamemtaja kuwa mwaminifu katika imani na huduma kwa Mungu. Marehemu Padre, aliyefarikiasubuhi ya tarehe 2 Februari mwaka huu wa 2026, alihudumu kama padre kwa takriban miongo mitano