- 333 viewsDuration: 1:51Shughuli za elimu, kilimo na usafiri zimeathirika katika Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu kutokana na uvamizi wa wanyama pori. Wananyama hao wanaojumuisha nyati zaidi ya 500, chui, fisi na mbwa mwitu wanawahangaisha wakazi na kuvamia mashamba na shule. wakazi hao sasa wanataka wanyama hao wahamishwe wakisema kuwa wanaishi kw auwoga.