Skip to main content
Skip to main content

IEBC yateua Moses Ledama kuwa kaimu msimamizi wa shughuli zake

  • | KBC Video
    855 views
    Duration: 47s
    Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka hapa nchini-IEBC imemteua mmoja wa wafanyikazi wake kuwa kaimu msimamizi wa shughuli zake.. IEBC imemteua Moses Ledama Sunkuli kwa wadhifa wa kaimu afisa mkuu mtendaji kwa kipindi cha miezi sita. Uteuzi wa Sunkuli unafuatia kujiuzulu kwa Marjan Hussein siku mbili zilizopita, na kuacha pengo la usimamizi. Sunkuli ambaye ni afisa aliyehudumu katika tume hiyo kwa muda mrefu, anatarajiwa kusimamia shughuli za kila siku za tume hiyo, kutekeleza maamuzi ya tume na kusaidia katika utekelezaji wa mageuzi yanayoendelea wakati wa kipindi hicho cha mpito. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive