Rais William Ruto amesema hakuna kijana atakayebaguliwa katika utoaji wa fedha za mradi wa NYOTA. Rais aliyezungumza huko Malindi wakati wa usambazaji wa shilingi Milioni 126 kwa vijana kutoka kaunti za Kilifi, Lamu na Tana River, alisema mpango huo unapiga jeki mipango mingine muhimu ikiwa ni pamoja na mradi wa nyumba za gharama nafuu, Kazi Majuu, miongoni mwa miradi mingine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive