- 11,746 viewsDuration: 2:09Je uliwahi kufikiria kula kitoweo cha mbwa? Walaji wenyewe wanadai kuwa nyama ya mbwa ina nguvu maalum. Je hii ni kweli? BBC ilifanikiwa kufika katika soko la siri la mbwa Nigeria . Tazama! #bbcswahili #nigeria #mbwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw