Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali watathmini mfumo wa dual TVET Kisumu

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 1:35
    Viongozi kutoka serikalini, sekta ya viwanda na taasisi za mafunzo walikutana mjini Kisumu kutathmini hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa mfumo wa Dual TVET, unaochanganya mafunzo darasani na uzoefu wa kazi.