Skip to main content
Skip to main content

Wanawake na uchaguzi Kabondo Kasipul

  • | Citizen TV
    66 views
    Viongozi wanawake kutoka eneo la Kabondo kasipul wameelezea kukerwa kwao na baadhi ya matamshi yanayotumiwa dhidi yao wakati wa mikutano ya kisiasa. Kina mama hao wanasema matamshi hayo yanalenga kuwadhalilisha na kuwakejeli, wakiomba hatua za haraka zichukuliwe.