- 46 viewsMsemaji wa serikali Isaac Mwaura ametetea kasi ya serikali katika kupambana na ufisadi. Mwaura kwenye kikao na wanahabari akisema kuwa, maafisa kadhaa wa umma waliopatikana na kesi za ufisadi wamelazimishwa kuondoka ofisini, wakiwemo wakuu wa mashirika