Skip to main content
Skip to main content

Vurugu baada ya familia moja kukabiliana na kampuni ya udalali wa mnada kupinga kuuzwa malori 2

  • | NTV Video
    2,825 views
    Duration: 1:35
    Vurugu zilizuka mjini Thika baada ya familia moja kukabiliana na kampuni ya udalali wa mnada kupinga kutwaliwa na kuuzwa kwa malori mawili yenye thamani ya takriban Shilingi milioni 7. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya